King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,145
- 4,293
hebu niutafute huo wimboAlvin alvindo Taka Taka [emoji16]
SIKUPENDI wa RayvannyImetokea tu..mmekutana baa
Wewe meza hii na yeye meza ya pembeni...dj akipiga wimbo gan utamshukuru sana..tena ikiwezekana utaimba kwa sauti/au kucheza kwa madoido
Mtalaka hatongozwiImetokea tu..mmekutana baa
Wewe meza hii na yeye meza ya pembeni...dj akipiga wimbo gan utamshukuru sana..tena ikiwezekana utaimba kwa sauti/au kucheza kwa madoido
Mtalaka hatongozwi
It must been love wa DON WILLIAM???So
So is it more like "IT must have been Love..."
OR
"My Love is your Love.."
R Kelly...."and my darling you...you will be mine"If I could turn back the hands of time, Kelly
Kupasha kiporo kupo....Mtalaka hatongozwi
Bedroom harmonizeImetokea tu..mmekutana baa
Wewe meza hii na yeye meza ya pembeni...dj akipiga wimbo gan utamshukuru sana..tena ikiwezekana utaimba kwa sauti/au kucheza kwa madoido
We jamaa huendi mbinguniChuma ulete rayvanny