Mmeniangusha!

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
277
Nilitamani mke wangu na mtoto wangu wawe na uraia wa nchi mbili lakini sasa rasimu yenu(TZ) imeniangusha. Sasa mke wangu atakuwa akichukuliwa kama mgeni kwenye nchi yake.
 
Pole sana,Kikubwa fuata taratibu na ujifunze Tanzania ina uraia wa aina ngapi,ukilijua hilo mwambie aombe hata ule wa kuandikishwa unamfaa!maana hajazaliwa Tz!ukiendelea kuforce king utaumia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…