...nimeshashuhudia % kubwa ya couples walionuniana kwenye foleni za magari kuelekea makazini (asubuhi) kati ya jumatatu na ijumaa. Kulikoni jamani?
...wengine mnakuwa kwenye magari ya nguvu tu na wengine vioo wamefunga wanakula viyoyozi lakini huwezi kuwaangalia mara mbili jinsi walivyoweka ndita! Inastaajabisha na kuchekesha vile vile,
...kama hamuamini chunguzeni kwenye hizo foleni... π

...ha ha haaa...
Nafikiria kuanzisha kikundi cha matarumbeta barabarani 'kuwameremeta' couples wanaokwenda makazini! π
Watanzania tunaonekana kama tuna uzuni muda wote. Sio kwenye magari tu. Angalia albam ya picha za harusi au sherehe nyingine iliyokusanya watu....
Mkuu Kununa muhimu, bei ya mafuta imepanda, mshahara haujapanda, raha itoke wapi...na mabosi wanataka the same level ya output....
hee?!
...Babu Swahili, ha ha haaaaa... picha zako mwenyewe hizi au? tusijepigwa kabali hapa.
Duh, picha zako ni mfano mwingine tosha 'wanandoa' wakiwa sehemu moja hata kama ni harusini, 'wananuniana!'
...hayo yatawezekana wapi iwapo watu mnakwenda kazini mmenuna namna hiyo bana?
Angalau hao walionuna kwenye picha naweza kusema wanauchungu na 'michango' yao wakati vinywaji vinahesabika mezani!
...hayo yatawezekana wapi iwapo watu mnakwenda kazini mmenuna namna hiyo bana?
Angalau hao walionuna kwenye picha naweza kusema wanauchungu na 'michango' yao wakati vinywaji vinahesabika mezani!
ahahhahahah hii imenikausha kabisa.... eti vinywaji vya kuhesabu...walitaka breweries ihamie harusini???
Jamani leo asubuhi nilikuwa maeneo ya MOrocco na ali mwinyi road; katika gari kumi na nne, ni mbili tu watu walionekana ku-smile, moja wanaongea, na nyingine dada anamfuta jamaa shati
Hebu tuanzishe movement ya kufanya watu wasmile kwenye magari!!!! tufanyeje??? au yale matarumbeta tu yanafaa
Super idea!!! hebu ngoja tucheki gharama na tuifadhili aisee... ntamcheki jama wa zeki hivi ina maana hawa wenye makampuni ya biashara kama voda wameshindwa kuweka haya ma-idea mwake!!!???... vipi tukiwasiliana na Quemu tutafute Billboard moja kuuubwa pale Salender Bridge na ujumbe "mmenuniana nini asubuhi hii?", am sure ita raise few smiles kwa walionuna π
Jamani leo asubuhi nilikuwa maeneo ya MOrocco na ali mwinyi road; katika gari kumi na nne, ni mbili tu watu walionekana ku-smile, moja wanaongea, na nyingine dada anamfuta jamaa shati
Hebu tuanzishe movement ya kufanya watu wasmile kwenye magari!!!! tufanyeje??? au yale matarumbeta tu yanafaa
... vipi tukiwasiliana na Quemu tutafute Billboard moja kuuubwa pale Salender Bridge na ujumbe "mmenuniana nini asubuhi hii?", am sure ita raise few smiles kwa walionuna π