Mmepozwa tu kwa Msemaji Bumbuli Kuachiwa Huru ili Makamu Mwakalebela akifungiwa msianza Kulalamika tena

Mwakalebela hafungiwi kwa lolote,kwa taarifa yako,ameshaanda clips za video 135,ambazo ataziwasilisha kama utetezi wake,na huo utetezi wake utakuwa wa saa 15
Asisahau kubeba na clip za mechi ya kwanza kagera sugar na yanga, kmc na yanga, gwambina na yanga na Simba na yanga ili.kweli tujue waamuzi wanaionea yanga.
 
Kwahiyo Clips hizo 135 ndiyo zitaifanya Yanga SC iogopwe na TFF kisha Marefa wote wawe wanaibeba Uwanjani ili ishinde?

Sikuwahi kudhani kama ni Hayawani ( Mpumbavu ) hivi Ndugu. Leo hii Yanga SC imekuwa ni Timu ya Kulia lia na kutaka Kubebwa na TFF? Akina Ihefu nao walalamike wapi sasa?

Tegea sikio nakuja na Uzi mmoja very Exclusive baadae wa kuihusu Yanga SC tena ni Jambo la ndani kabisa ambalo sasa linaigharimu Timu na kuwa na mwenendo mbaya.
 
Hongera ( Heko ) Ndugu. Umemmaliza kila Kitu hapa. Nimekukubali uko vyema Kichwani. Hawa Yanga SC ni Wapuuzi kupita Kiasi.
 
Kwahiyo Clips hizo 135 ndiyo zitaifanya Yanga SC iogopwe na TFF kisha Marefa wote wawe wanaibeba Uwanjani ili ishinde?

Sikuwahi kudhani kama ni Hayawani ( Mpumbavu ) hivi Ndugu. Leo hii Yanga SC imekuwa ni Timu ya Kulia lia na kutaka Kubebwa na TFF? Akina Ihefu nao walalamike wapi sasa?

Tegea sikio nakuja na Uzi mmoja very Exclusive baadae wa kuihusu Yanga SC tena ni Jambo la ndani kabisa ambalo sasa linaigharimu Timu na kuwa na mwenendo mbaya.
Kwan ulitumia lugha za staha,upendo na uungeana msg yako uoiyodhamilia hautafika? Hadi lugha za matusi, ujeuri,ufedhuri na kila Aina ya udhalimu?
Basi ukiona hutaki hoja mbadala usitume kitu. Sorry kwa makwazo

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hizo clips zinahusu nini, Yanga kuonewa? acheni utoto na wale wengine wakipeleka clips zao za Yanga kubebwa naona itapendeza zaidi.
Kama hii?
 
Back
Top Bottom