MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nimejaribu kuangalia Fainali kadhaa zinazohusisha Klabu za Uarabuni na za kutoka kwa Weusi hasa zikichezwa Viwanja vya kwa Waarabu huku Kombe likiwa Uwanjani na Kugundua kuwa kwa 95% Kombe hubaki Uarabuni ( Egypt, Algeria, Morocco na Tunisia ) na ni kwa bahati sana tena kwa 5% Kombe hubebwa na Klabu kutoka kwa Weusi.