MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
kiherehere ni kingi mnoKinachowauma Simba ni hiki.
Nyie Yanga mkirudi woote inabidi mmeze hizo p2. Msituletee mbegu za laana hapa tz.Unakosa hadi usingizi. Meza P2.
.Yanga ni timu ya wananchi wenye akili, hiyo nyingine sijui ni ya wananchi wenye hali gani ya kiakili
Nimesikia ziko Goli 5 au 6 Yanga SC anafungwa leo huko Algeria. Tusubirie tuone Ndugu.Yanga anakufa tatu bila
Na mimi nasema wafungwe tu hakuna jinsi nyingineNimesikia ziko Goli 5 au 6 Yanga SC anafungwa leo huko Algeria. Tusubirie tuone Ndugu.