Mmeshamaliza hesabu zenu sasa tulieni Wanamume wamalize na Makombora yao Matatu tu Matakatifu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Tofauti yenu Mazuzu na Sisi Werevu ni kwamba nyie (Mazuzu) mnasajili Kimihemko na kwa Kukurupuka wakati Sisi Werevu tunasajili Kiutaalam, Kiufundi na Kimkakati hasa.

Tunaenda Kukamilisha na Makombora yetu Matatu tu kisha tukutane Ngao ya Jamii Mwezi ujao ( August 2022 ) na endeleeni tu Kukariri kuwa na Msimu ujao utakuwa Wenu kama ulioisha.
 
Mimi nasikia Simba wakisema tukutane ngao ya jamii. Hivi inamaana utaratibu wa ngao wa jamii umebadilika? Maana nilivyojua ngao ya jamii ni Yanga vs Coastal.
Bora tukutane na na mbumbumbu kuliko coastal,mikia haruendi nao ata kweny 30 za nyongeza
 
Tofauti yenu Mazuzu na Sisi Werevu ni kwamba nyie ( Mazuzu ) mnasajili Kimihemko na kwa Kukurupuka wakati Sisi Werevu tunasajili Kiutaalam, Kiufundi na Kimkakati hasa..
Kichuya[emoji23][emoji23]
 
Manzoki & Outtara sio makombora.

Kombola limekwisha dodoka jangwani.
 
Daah nukiona Hawa wachezaji eti watakwepo msimu ujao nakosa na nguvu jumla jumla ,mood inakata kabisa kmmk.

Hakika mhindi sio wa kupewa timu ni wabahili sijapata kuona ,mudy ni mjanja mjanja Sana kmmk zake

Ko hutaki hata NYONI MAHERENI abaki?

[emoji23][emoji23]
 
Kina manzoki, na Ngomo ndo makombora mkuu? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Daah nukiona Hawa wachezaji eti watakwepo msimu ujao nakosa na nguvu jumla jumla ,mood inakata kabisa kmmk.

Hakika mhindi sio wa kupewa timu ni wabahili sijapata kuona ,mudy ni mjanja mjanja Sana kmmk zake
hahahahahaaaaa makolo ulibwanjiiii
 
Daah nukiona Hawa wachezaji eti watakwepo msimu ujao nakosa na nguvu jumla jumla ,mood inakata kabisa kmmk.

Hakika mhindi sio wa kupewa timu ni wabahili sijapata kuona ,mudy ni mjanja mjanja Sana kmmk zake
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…