Twende kisutu mkuu-- noreformsKuna wauminj humu wanajisifu kwamba ndio wasomi na wanawakebehi wengine hawakusoma shule, wamewekeza kwengine. Cha ajabu hao hao kila kukicha humu wanalalamika.
1. Kila siku tunalalamika haki za binaadam
2. Umaskini
3. Rushwa
4. Bara bara mbovu
5. Haki na usawa haupo
Haya yote yanasababishwa na wasomi. Na nyinyi ndio wasomi na watendaji wenyew.
Sasa kimesomwa nini?
Jaji kasoma shule gani? Utasikia stTwende kisutu mkuu-- noreforms
"Bara bara" ndio kasoro katika Uzi wako, hamna nafasi hapo katikatiKuna wauminj humu wanajisifu kwamba ndio wasomi na wanawakebehi wengine hawakusoma shule, wamewekeza kwengine. Cha ajabu hao hao kila kukicha humu wanalalamika.
1. Kila siku tunalalamika haki za binaadam
2. Umaskini
3. Rushwa
4. Bara bara mbovu
5. Haki na usawa haupo
Haya yote yanasababishwa na wasomi. Na nyinyi ndio wasomi na watendaji wenyew.
Sasa kimesomwa nini?
Halafu pengine umetokea st na div 1 form 6. Uzi mzima hoja yako spelling errors tu ndio ulioona"Bara bara" ndio kasoro katika Uzi wako, hamna nafasi hapo katikati
utasoma wapi sasa pengine?🤣Jaji kasoma shule gani? Utasikia st
Mwisho unasema nchi yetu maskini, rushwa, haki za binaadam. Ukiuliza yatafanywa na robot au yatafanywa na msomi, unaambulia matusiutasoma wapi sasa pengine?🤣
Sisi wa Mtwara mjini tunaandika, Mmesoma; kuandika Mumesoma hili ni tatizo pia, ila nilipojua upo Masasi nikakausha tatizo la urithi wa lugha na mazoea ya matamshi....Halafu pengine umetokea st na div 1 form 6. Uzi mzima hoja yako spelling errors tu ndio ulioona