mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
"Diamond ni daraja la kiba, Diamond platinum "Simba" anajitahidi sana, sana tena sana kumvuta Kiba awepo kwenye game lakini Kiba nadhani hajagundua jambo.
Diamond kama asinge mtupia dongo Kiba nadhani hata hiyo Seduced me isingevunja record ya Diamond" amesema na kuongeza
"Diamond anafanya mambo makubwa sana kwa kuwaenzi mashabiki wake ktk kila nyanja ya muziki wake ikiwemo
kuzidi kutoa muziki au mashairi bila kuchoka, ana dance ndani ya video na stegini pia, anaibua vipaji vipya,
Anajitahidi kuukuza muziki na kuitangaza nchi kwa kufanya collabo na wanamuziki wa nje ya mipaka ya Tzee,
Ana promote muziki wake zaidi."
Kuhusu Kiba yeye AliKiba hafanyi hivyo...japo ni mwanamuziki mzuri sana
sana.. Aliulizwa swali na shabiki akiwa anahojiwa na kituo cha radio EA Radio akiwa na Dulla one kuwa "Umesema seduce me ni kama starter yaani before mlo kamili je! Tutegemee lini mlo wenyewe?"
Alichojibu Kiba kwa shabiki ni kwamba yeye aseme tu akiwa na njaa aletewe chakula lakini inawezekana shabiki akashiba starter...sasa hii inamaanisha nn...zaidi ya kumsubiri King kiba baada ya miaka mitatu sasa huoni hapo anakaribia kuwa Zilipendwa?
Maana muziki si kama Filamu ambapo unaweza wika kama kina Rambo
wana miaka 80 bado wapo ktk game muziki ukifikia 40yrs tu hakuna sponsors watakaokupa shavu watadili na kizazi kipya...
Hivyo basi ili kiba awe kama Diamond ana kila sababu ya kutowakalia kimya mashabiki zake" alimalizia msanii
huyo anayekubalika kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza