Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kama mnavyojua kesho kampeni za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaanza kesho.
Wakati napitia hizi kanuni za kampeni za Uchaguzi kuna kipengele nimekiona ambacho kama wapinzani kinaweza kutumika vibaya
Kulingana na kanuni za kampeni kipengele 27 (1) ni kwamba Mkuu Wa Polisi Wilaya ndio mtu anayehusika na mambo yote ya kiusalama katika kipindi cha kampeni na hata ratiba ya kampeni ni lazima ipite kwake kwa ajili ya kuhakikiwa.
==============
- Huyu Mkuu Wa Polisi Wilaya anateuliwa na nani? Na kama akipewa hiyp mandate ya kuwasilishwa ratiba ya kampeni akiikataa itakuwaje?
- Kwanini Vyama vya siasa visikae pamoja kwenye Wilaya kuchagua mtu ambaye atahusika kusimamia Ulinzi wa Uchaguzi badala ya kutegemea hao viongozi waliochaguliwa kisiasa?
- Kama Jeshi La Polisi linaweza kusitisha maandamano kwa kigezo cha 'Ulinzi na Usalama' nini kinasababisha huyo Mkuu Wa Polisi Wilaya kufanya the same?
Soma kanuni zote hapo chini