Mbona uzi haujajitoshereza? Kwani Dangote amesema anashindana
na vigogo wa dunia? au hao vigogo nao wanakuja kuwekeza
hapa kwetu tanzania? na mbona huyo
aliyepewa nafasi ya kumi mbona uzalishaji wake
ni wa chini ukilinganisha na Dangote aliyeshika
nafasi ya 11.