Mmh! hapa Diamond umetupiga changa la macho

ukikaa na waongeaji wa kiingereza kizuri
hautotoka mtupu
 
Safi binamu, hata Mimi pia kiingereza changu ni cha kawaida sana, natamani siku nikifahamu zaidi (inanilazimu haswa kutokana na kazi zangu)
Mtafute Ras Simba,usipojua ela yako inaludishwa
 
Hivi si nasikia British Council wapo vizuri katika Training juu ya lugha ya Malikia,nataka niende maana 2018 najiandaa kuwa mbunge wa East Africa

Ukiwa mbunge wa East Africa lazima ujuee kizungu!!!
 
Hivi si nasikia British Council wapo vizuri katika Training juu ya lugha ya Malikia,nataka niende maana 2018 najiandaa kuwa mbunge wa East Africa

ndio wanatoa mie mwenyewe nna mpango wa kwenda pale.......
 
Hiyo hela kwanini usinipe mieee

Kiingereza kizuri ni kile cha kujifunza kuongea na watu, unaweza kwenda British ukamaliza ukarudi kwenu tandale aya utaanza kuongea na nani? , shida ni mazoezi tu, unaweza kuanza Ku watch English program kama CNN , filamu za English zenye subtitlle, kusoma vitabu vya kiingereza, yaan mazingira mengi uki ya tune ki English English nadhan inawezekana, hakuna miujiza, wengi wanafundishag mambo ya future,present n past tense kitu ambacho nakionag magumashi.huwezi amini nikipata maji ya dhahabu nagonga yai hatari had watu wananiogopa nikiwa mzima sasa duh ni vigumu kuongea coz nakuwa cjiamin ila najua nakimud kwa kias chake
 
Ukiwa mbunge wa East Africa lazima ujuee kizungu!!!

Yah kuna kipindi nilitakaga kuish nje ya nchi, siyo kwa ajili ya maisha mazuri ila nilikuwa natak fluent English tu.
 
ndio wanatoa mie mwenyewe nna mpango wa kwenda pale.......

Nasikiaga wanafundisha vizuri, sijajua wanafundishaga mambo ya past na future tense au vp , maaana hayo mambo siyatak kabisa, kwa nn usiombe ushoga na wema jaman, maana wema mashoga zake wanamtumia kwa mengi
 
Hahhhahhhahhahha aisee ngoja na mie nianze kuchukua tuition hapa jirani tutapitwa na mengii
 
Hahhhahhhahhahha aisee ngoja na mie nianze kuchukua tuition hapa jirani tutapitwa na mengii

Aunty Ezekiel naye kashachukua chake, nasikia hatak kubandika kwa wema, anakwambia bora akose yote lakini sio wema, naona na movie siku hizi wanaigiza wote wakat kuna kipindi wema alimtukana aunty kuwa amekomaa sana na sura yake mbaya haifai kukaa kwenye magazeti.
 
Kiranga me najuaga hii id ni ya she ila kwa hii mistari uliyoshusha mamaa unanifanya nisome kama na flow na beat cuz am a big funny of hip -hop,u gt talent and skills mamaa,big up!!
 
Nasikiaga wanafundisha vizuri, sijajua wanafundishaga mambo ya past na future tense au vp , maaana hayo mambo siyatak kabisa, kwa nn usiombe ushoga na wema jaman, maana wema mashoga zake wanamtumia kwa mengi

my friend amesoma pale nitamuuliza ni nini hasa...........nae sa hivi yuko poa

mashoga nilionao wananitosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…