Mmh mavazi mengine ni soo!

Mmh mavazi mengine ni soo!

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
sista_lil_kim_bylachapelle.jpg
 
Mbona kavaa hiyo michoro tuuu, hakuna NGUO hapo, ndo maana ameficha hizo tits.
 
Hapo hakuna nguo huyo kajichora chora mwilini
 
Amevaa kuanzia kichwani. Inaonekana ni body suit kama mask vile! Lakini kweli nguo zingine karaha tupu. Yote hii ni kwa ajili ya mwanaume kuvutika (attarcted)!
 
Mwenyezi Mungu inabidi aje haraka sana atunusuru tunakoelekea si kudogo ni kukubwa sana.
 
Kwa jinsi wanawake mlivyo kwa kupapatikia fasheni hata ambazo hamwendani nazo, hiyo tayari tutaanza kuwaona live sasa hivi!!!!
 
Back
Top Bottom