Amevaa kuanzia kichwani. Inaonekana ni body suit kama mask vile! Lakini kweli nguo zingine karaha tupu. Yote hii ni kwa ajili ya mwanaume kuvutika (attarcted)!
Kweli kuzaliwa MWANAUME RAHA tupu, hii yote BECAUSE OF US (MEN) ni kama simba yupo msituni anasubiri kudaka swala. Ndo hao hapo wapo mawindoni wakimuwinda simba hahahahahahah