cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
- Thread starter
-
- #21
Naomba ubadilishe/improve hiyo heading ivutie zaidi kufugua post yako.
Hawa ndio wanaccm.......hata hajui kesho atakula nn lakini anampigi mtu magoti! Bsht!
Samahani, maana na mimi nimekosa heading inayofaa, nimebaki naduwaa. Hivi kweli hii ndio Tanzamia yetu ndio tumefikia hapa? Halafu nimeona sehemu nyingine vijana wamepigishwa gwaride wakimpokea Ridhiwani. Na kale Karidhiwani kadogo nako kapi wapi maana nimeamua kufanya collection ya hii 'royal family' kwa matumizi ya kitaaluma. (academic).
Aisee we jasiri
kwa hiyo ulimshuhudia jamaa akichutama na KUKATA GOGO barabarani kisha akainama na kuliezua? hahahahaha hehehehe
pesa mwanawake ni haram kweli kweli