Mmhh bongo kuna demu wa kuoa??

Mmhh bongo kuna demu wa kuoa??

sijafulia

Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
86
Reaction score
2
Watanzania wenzangu nimepewa swali hili na kakangu ambae tangu akiwa tanzania
alikuwa mwoga wa vitko vya mabinti wa kibongo akaniuliza bongo kuna
mademu wa kuoa???

Kama wapo naombeni mni PM Niwape connection
 
sasa hapo ndio anatafuta vituko zaidi.....ajaribu kutafuta mwenyewe....na mke mwema hutoka kwa Mungu, mwambie aombe sana kwa imani yake

Sijambo
za kwako tumsaidiee jamani ama ndio contact hiyo??????preta
tuwakilishe??
 
Nasumbuliwa na kichwa balaa, vipi nawe mzima mamii??
Mhh kumbe maana hili jina la Demu huwa silielewagi!

pole sana my dear....kiswahili kimekuwa kipana sana siku hizi...wanawake wanaitwa kila jina.....wanaume wao huwa hawana? au ndio kina buzi, ATM n.k?
 
umeanza

kiswahili"""""""""""KIPANA"""""

Jamani preta upana adi kiswahili??ama ulikuwa unaamaanisha kwingine
 
sikuwa namaanisha kwingine nilikuwa namaanisha kiswahili kimetanuka kwa marefu na mapana

Inawezekana bongo wasichana wa kuoa ni wachache sana, wengi hawajatulia, utawaona wakiwa migongo wazi, samahani sijamsema mtu, ila nawasilisha hoja binafsi.
 
heeee...hivi huwa ndio hivyo eeeh?
 
Mnaharibu hadhi ya JF kuna siku mtu atapost anatafuta demu wa kuto%*"£$?:><"£$%^&*(()|%mba
 
Watanzania wenzangu nimepewa swali hili na kakangu ambae tangu akiwa tanzania
alikuwa mwoga wa vitko vya mabinti wa kibongo akaniuliza bongo kuna
mademu wa kuoa???
Kama wapo naombeni mni PM Niwape connection

Ina maana ndoa hizi za kila siku wanaolewa wa kina nani?miguberi tu?
Huyo kaka yako si muoaji,angejua la kufanya kama anataka kuoa..Akikosa bongo ajaribu huko aliko labda ndo kuna mademu wa kuoa.
 
Back
Top Bottom