Mmiliki halali wa jengo la Yanga ni nani?

kidodosi

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
2,306
Reaction score
1,404
Kama kuna mtu anajua mmiliki halali wa jengo la club ya Yanga pale Jangwani naomba atoe ufafanuzi hapa.
 
Hilo jengo kwanza linataka kupigwa mnada viongozi wao wauza sembe walikopa pesa ya kumnunuwa okwi wameshindw kurudisha mlion 170
 
kama kuna mtu anajua mmiliki halali wa jengo la club ya Yanga pale Jangwani naomba atoe ufafanuzi hapa,

Jengo la Yanga halafu unatafuta mmiliki? Huu ni uchizi sasa, ukiacha jengo hilo Yanga pia inamiliki jengo lingine kariakoo mtaa wa mafia.
 
M/kt Manji hahujui hati iko wapi. Iko siku utasikia mjengo umeuzwa. Kaz kwel kweli
 
Jengo la Yanga halafu unatafuta mmiliki? Huu ni uchizi sasa, ukiacha jengo hilo Yanga pia inamiliki jengo lingine kariakoo mtaa wa mafia.

weka uthibitisho basi Matola, wacha kutokwa na povu, period
 
weka uthibitisho basi Matola, wacha kutokwa na povu, period

Kwani wewe ukiombwa uhibitisho wa hati ya jengo la Simba unaweza kuutoa hapa? Hivi togwa nayo inalevya siku hizi?
 
Kwaiyo manji na ujanja wake wote hajui hati ilipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…