Tetesi: Mmiliki wa Facebook kushtakiwa nchini Ujerumani

Tetesi: Mmiliki wa Facebook kushtakiwa nchini Ujerumani

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
7,295
Reaction score
3,950



Mahakama moja mjini Munich nchini Ujerumani imefungua kesi dhidi ya muasisi wa mtandao wa kijamii wa Facebook, Mark Zuckerberg kwa kuchochea hisia za chuki.
markzuckerberg.jpg

Muasisi wa mtandao wa kijamii wa Facebook, Mark Zuckerberg
Jarida la habari la Ujerumani Der Spiegel limeripoti kuwa kesi hiyo iliwasilishwa na wakili mmoja wa mjini Würzburg, anayeutuhumu mtandao wa Facebook kwa kuruhusu wito wa mauaji, vitisho vya machafuko, kukanusha mauaji ya Wayahudi, miongoni mwa mambo mengine.

Sheria zinazodhibiti maneno ya chuki nchini Ujerumani ni kali, ambapo ishara za Kinazi na propaganda za kibaguzi zimepigwa marufuku kabisa.

Mtandao huo wa kijamii umekuwa ukishutumiwa mara kwa mara kwa kuchukua muda mrefu kuondoa habari zenye maudhui yanayokiuka sheria kutoka kwa tovuti yake.
 
Sheria ya kama hiyo hapa Tanzania inapingwa
 
Wamtie vidole m. a. t. a. k. o. n. i huyo shoga mkubwa
 
Kumbe hata Wazungu hupuyanga namna hii?. Uandike wewe halafu nikamatwe Mimi. Wapi na wapi?
Halafu ikumbukwe, Facebook ni Entity, yenye haki zote za kisheria ikiwemo kushtaki na kushtakiwa. Ilitakiwa kuishtaki Facebook na sio Mmiliki wa Facebook.
 
Fatilia hiyo kesi,alafu tuletee mrejesho.
 
Back
Top Bottom