M Mutambukamalogo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 397 Reaction score 85 Oct 14, 2011 #2 Kwanza uueleze umeokota wapi hii picha ukashindwa kuwa na habari zake!
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,064 Oct 14, 2011 #3 Watu naona wanajitafutia umaarufu..lol
Mchaka Mchaka JF-Expert Member Joined Jul 20, 2010 Posts 4,517 Reaction score 1,407 Oct 14, 2011 #4 Mutambukamalogo said: Kwanza uueleze umeokota wapi hii picha ukashindwa kuwa na habari zake! Click to expand... Kama sikosei aliiokota hapaTANZANIA'S 15 MOST ELIGIBLE BACHELORS
Mutambukamalogo said: Kwanza uueleze umeokota wapi hii picha ukashindwa kuwa na habari zake! Click to expand... Kama sikosei aliiokota hapaTANZANIA'S 15 MOST ELIGIBLE BACHELORS
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Oct 14, 2011 #5 umri wake na umri wa haidery plaza havitofautiani sana... so probably amerithi....
U ureni JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,261 Reaction score 530 Oct 14, 2011 #6 Hiyo ni mali ya baba yake,au amesharithi tayari
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Oct 15, 2011 #7 Hakuna kitu hapo.Mmiliki ni Fidahussein,mwenye africarriers
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,604 Oct 15, 2011 #8 kabombe said: Hakuna kitu hapo.Mmiliki ni Fidahussein,mwenye africarriers Click to expand... Hata mimi ndivyo nilivyojua
kabombe said: Hakuna kitu hapo.Mmiliki ni Fidahussein,mwenye africarriers Click to expand... Hata mimi ndivyo nilivyojua
babu M JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 5,222 Reaction score 3,173 Oct 15, 2011 #9 Hii habari ndo zile zile mmiliki wa kampuni ya mabasi ya DCM ni David Cleopa Msuya kwa sababu majina yana fanana
Hii habari ndo zile zile mmiliki wa kampuni ya mabasi ya DCM ni David Cleopa Msuya kwa sababu majina yana fanana
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Oct 15, 2011 #11 Mmiliki ni mhindi na sio patrick labda kama anatumia jina ha haidery kupata ngono