Kabisa mkuu, mjini kuna mengi yenye hoja na viroja ila mwisho wa siku watu wanaishi na kutengeneza pesa maisha yanaendelea. Ukishakuwa na pesa ukiwa mahabusu polisi au magereza unaishi kama mfalme.Hapo kuna macontawa wa mjini wanaenda kwenye mali wanamwambia kama pumzi yako ndogo nipe mimi umiliki wa Hilo jengo niingie matatizoni ila utanipooza issue ikiisha unarud kwenye mali yako