Aloysius Member Joined Mar 1, 2011 Posts 80 Reaction score 9 Sep 5, 2011 #1 Just a minute mmiliki wa blog hii au promoter wa blog hii ya Jamii Forum ni nani tumpatie shukrani zetu kwa kukuza uhuru wa mawazo huku tukisherekea miaka hii hamsini ya uhuru?
Just a minute mmiliki wa blog hii au promoter wa blog hii ya Jamii Forum ni nani tumpatie shukrani zetu kwa kukuza uhuru wa mawazo huku tukisherekea miaka hii hamsini ya uhuru?
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,052 Sep 5, 2011 #2 mmiliki ni mimi...! wasemaje sasa rafiki?
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,039 Reaction score 7,465 Sep 5, 2011 #3 Teamo said: mmiliki ni mimi...! wasemaje sasa rafiki? Click to expand... tilalilaaa! Watu wanasema wewe ni mbakaji, umebaka uhuru wao tilalila!
Teamo said: mmiliki ni mimi...! wasemaje sasa rafiki? Click to expand... tilalilaaa! Watu wanasema wewe ni mbakaji, umebaka uhuru wao tilalila!
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,052 Sep 5, 2011 #4 Bigirita said: tilalilaaa! Watu wanasema wewe ni mbakaji, umebaka uhuru wao tilalila! Click to expand... heheheheheh!.... ndo waanzishe blogu zao sasa...! gadem zao
Bigirita said: tilalilaaa! Watu wanasema wewe ni mbakaji, umebaka uhuru wao tilalila! Click to expand... heheheheheh!.... ndo waanzishe blogu zao sasa...! gadem zao