Mmiliki wa Kampuni ya Amazon ameonyesha private message aliyotumiwa baada ya kuunga mkono "Black Lives Matter"

Mmiliki wa Kampuni ya Amazon ameonyesha private message aliyotumiwa baada ya kuunga mkono "Black Lives Matter"

Issue ni wages na wala si kuhusu black lives matter

Kuna jamaa anafanya Amazon deliveries na anakuja na van nyumbani majuzi walipochoma baadhi ya magari na kuiba vitu USA
Hapa uk [emoji636] nao wakaambiwa van zote zenye nembo ya Amazon wasiende nazo nyumbani kwa usalama ila sasa wameruhusiwa
Kazi ya Amazon ndio imefanya vizuri katika mda wote wa lockdown maana kazi ni nyingi sana
Hata waliokuwa wanafanya kazi ya cab wameacha na kujiunga na Amazon kwa kukosa customers Mkuu
 
Mambo mengi wanayovumbua na sisi tunaweza Ila mfumo wa elimu waliotubebesha Africa ni kandamizi na ni wa kikolon hivyo syllabus zimebanwa ndio maana hatuwezi kugundua ila tunafata wanayofanya wao tu..ukolon bado upo
Dah, lkn kuna mambo mengine hawa wazungu wanafanya huwezi kuamini kuwa wao ndio wamevumbua vitu mbalimbali tunavyotumia ktk dunia hii leo. It's very disturbing.
 
Mambo mengi wanayovumbua na sisi tunaweza Ila mfumo wa elimu waliotubebesha Africa ni kandamizi na ni wa kikolon hivyo syllabus zimebanwa ndio maana hatuwezi kugundua ila tunafata wanayofanya wao tu..ukolon bado upo

acha shutuma zisizo na msingi, kwani mulizuiwa kubadilisha huo mfumo wa elimu?
 
Kwani nani katulazimisha kufuata hiyo syllabus.
 
Weusi tulishajidharau wenyewe.

Tumekua huru kimwili ila akili zetu bado zimekaa kitumwa.
 
Huwezi kukwepa kuvitumia so long as upo hapa duniani.

basi ndio ufahamu kuwa wanacho cha kututesea, hiyo ndio tabia halisi ya mwanaadamu, Hata sisi kama ndio tungekua wajanja kuliko wao basi pengine tungewafantia vitimbi Zaidi ya wanavyotufanyia wao.
 
Sitoshangaa huyo aliyeandika huo ujumbe akiwa ni mtu mweusi!

Hayo mambo huwa yanatokea sana.

Mtu anaandika kitu halafu anajifanya ni mtu mwingine: yaani, mtu mweusi anajiandikia ujumbe wenye maneno ya kibaguzi na kudai katumiwa huo ujumbe na Wazungu kumbe ni yeye mwenyewe.

The internet is a cesspool!
Bilashaka bado hujamfahamu alie tumiwa huo ujumbe..

Alietumiwa ni mzungu.. Na alie mtumia ni mzungu pia.

Sasa nashindwa kuelewa ulichoandika hapa!
 
By nature, kila binadamu ni mbaguzi.

Ubaguzi ulikuwepo kabla ya Yesu kuzaliwa (kwa wale wenye imani kwamba Yesu aliwahi kuwepo), na utaendelea kuwepo mpaka mwisho wa dunia (kama kuna mwisho).

Iwe wazungu kwa wazungu, wazungu kwa weusi, weusi kwa weusi, weusi kwa wazungu nk.

Tatizo kubwa ni kwamba blacks are inferior, ndiyo maana kubaguliwa kwao ni issue kubwa kuliko wao wanavyobaguana. Ni kama wanatafuta kisingizio cha matatizo yao kwa kujificha kwenye ubaguzi.
 
acha shutuma zisizo na msingi, kwani mulizuiwa kubadilisha huo mfumo wa elimu?
Aina hii ya maswali husikika sana kwa wakazi wa tandale uzuri
Wangewezaje kwa mfano?
 
Back
Top Bottom