ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Haijajulikana mara moja walikuwa wanaelekea wapi lakini kuna mmbeya mmoja pembeni aliniambia ya kwamba inawezekana wanaeleka south africa kwenye tuzo za MAMA MTV baada ya uongozi wa MTV kugundua kosa walilolifanya la kutomuweka LEMUTUZ kwenye nominees wa personality of the year,hivyo wameamua kumpooza kwa kumpa heshima ya kwenda kutoa tuzo na ameahidiwa kupewa standing ovation kutokana na kazi kubwa anayofanya kwenye mitandao including kushirikina na polisi wa osterbay kuwakamata ma bully wa mtandao yaani wazee wa ku troll.
Update zaidi juu ya habari hii ya owner wa swahili tv itakujia,stay tuned