Hili suala la huyu jamaa kula ugali linafanywa kuwa ishu kuuuuuubwa wakat kawaida tu kwan ugali kitu gani bhana?
jamani, kwanza sio kawaida mzungu kula ugali, hata wanao tu home ugali issue, pili, kwa mtu maarufu kama mark kula ugali tayari umeshapanda bei, pia mindset za watalii zitabadilika wataamini kuwa kunachakula kizuri africa, sasa watalii tutawaonyesha picha ya mark na kuwaambia ugali kwa sato ni poa sana hata Mark aliwahi kula, naimani hata mama cliton safari hii akija tutamtengea ugali kwa sato.Watu bana!
Si anakula chakula tu hapo..
Sasa lipi la ajabu?
Tukimwona Bhakresa au Mengi yuko china akila chura itakuwa issue, lakini tutajua kumbe ni watamu ndio maana wamekula, hivyo hivyo kwa mark watalii tutawaonyesha picha yake akila nao wataamini ni kitamu sana.Kipi cha ajabu sasa?au na Mbongo akienda State ivi akala Pizza basi nayo iwe habari duh utumwa wa akili utaishi milele Africa kati ya habari ambayo imenikera na hii ni moja wapo maana uyo ndezi kala ugali na samaki kama ambavyo mimi nikisogea kwao nakula ambavyo home hua navikosa...Russia nimegonga vitu vigumu sana sishangai wao wakija wakanywa Konyagi au gongo.
jamani, kwanza sio kawaida mzungu kula ugali, hata wanao tu home ugali issue, pili, kwa mtu maarufu kama mark kula ugali tayari umeshapanda bei, pia mindset za watalii zitabadilika wataamini kuwa kunachakula kizuri africa, sasa watalii tutawaonyesha picha ya mark na kuwaambia ugali kwa sato ni poa sana hata Mark aliwahi kula, naimani hata mama cliton safari hii akija tutamtengea ugali kwa sato.