Mmiliki wa PSG na Emiry wa Qatar anataka kufanya kufuru ya pesa kwa Mbape

Mmiliki wa PSG na Emiry wa Qatar anataka kufanya kufuru ya pesa kwa Mbape

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
[emoji599]Klabu ya PSG imepanga kumpa ofa ya miaka 10 yenye Thamani zaidi €1B kwa kila msimu mmoja, Emir wa Qatar tayari ameshaidhinisha ofa hiyo,[emoji857]

Source Defansa Central . Com

Kijana hachomoki, Real Madrid isubiri kudra zake.

1689965942908.jpg
 
Uongo mtupu, PSG wamechoshwa na vurugu za Mbappe wameshamuweka sokoni, mwenye mzigo mkubwa anajibebea..
 
Kocha wa sasa hamuhitaji, tatizo Mbappe anajiona yy mkubwa kuliko club kwa future ya timu bora wa mwache aende Madrid kwani mchezaji hatakiwi kuwa mkubwa kuliko timu.
 
Huyu dogo namkumbuka mechi ya fainali world cup na Argentina.
Ile mechi ufaransa walifanya comeback ya ajabu.
 
Bajeti ya wizara waarabu wanataka kumpa mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom