TANZIA Mmiliki wa wa Masumin Stationaries, Shakirali Hassanali afariki nchini India

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Shakirali Hassanali Almaarufu Mzee Masumin Amefariki nchini India leo Jumatano July 28, 2021. Mzee Masumin ameacha mke na watoto wanne.

Marehemu atazikwa leo Mjini Mumbai, India.

Masumin imekuwepo tangu mwaka 1985 na Mzee Sharikali amekuwa mchangiaji mkubwa kwenye Jumuiya ya Hussein, Dar es Salaam.

 
Sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea
Kifo bana ni kujiandaa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…