TANZIA Mmiliki wa wa Masumin Stationaries, Shakirali Hassanali afariki nchini India

Na hakuwa raia wa Tanzania? Naona anazikwa India.
 
Hawa huwa wanakuja kuchuma Tanzania na kujenga kwao. Sasa amefariki anazikwa kwenye mother land. RIP.
Masumin Stationaries ipo Bombay ?

Ni bora wanaochuma na kuleta ajira na products kuliko tunaowaona ndugu zetu lakini wanatuchuma/ kutunyonya na kutukamua with nothing to show for it

Om Shanti Mr Masumin


They Say its the White Man I Should Fear....., But its my Own Kind doing all the Killing Here....
 
Stationery ya kwanza ya kisasa tz
 
Ooh pole sana kwa wana familia, huyu mzee aliugua cancer muda mrefu sana
 
Apumzike kwa amani mjasiriamali. Wangemzika Bongo ili tupate nafasi ya kushiriki...
 
Nimejikuta nimekumbuka gazeti la Femina miaka ya 2003 hadi 2004 alijitokeza sana matangazo ya masumin interprises kwenye magazeti hayo! Hadi jina likakaa kichwani kwangu bila kupenda.
Masumin interprises....

R.I.P mjasiriamali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini ten? Cov? RIP
Wahindi wajanja. Mtu kama huyu mwenye fedha atakuwa alishachanjwa siku nyingi sana. Itakuwa ni ugonjwa mwingine tu. Ajabu ni kuwa waswahili masnkini ndiyo wana wasiwasi na chanjo na wanaona zimetengenezwa ili kuwadhuru lakini wenye fedha wengi na hata viongozi wa serikali ni wengi walishachanja.
 
Kaanza siku nyingi sana. Vifaa vya shule tena kipindi watu hawajajanjaruka alikuwa anauza vifaa kwa bei ya rejareja na jumla. Nakumbuka duka lake lilikuwa pale sokoni Kariakoo. Siku wakifungua shule palikuwa hapaendeki. Huyu na wafanya biashara wengine kama Mansoor Daya. Daya yeye ni wa siku nyingi kwenye madawa.
 
waafrika wajinga! Mimi nitachanja na naanza mtafutano wa kuipata
 
Akizikwa hata chini ya miamba wewe inakuhusu nini?

Akiwa raia hawezi zikwa nchi ingine?

Tanzanians are so ignorant mpaka it hurts my brains
Haa haa haaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16] it hurts your brain
 
Huyu kumbe alikuwa ndiye mmiliki!!! Alikuwa anakuwepo pale dukani, kwani hii sura si ngeni!!!
 
Hawa huwa wanakuja kuchuma Tanzania na kujenga kwao. Sasa amefariki anazikwa kwenye mother land. RIP.

Ndio viumbe wanaozitumia vizuri akili zao walizojaaliwa nazo, sisi ni wapuuzi tu tusioisha kulalamika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…