Mmiliki wa WCB na Wasafi Media ni Joseph Kusaga?

baada ya kuona kwa mange ulimuuliza akakujibu nn????ipo siku mange atapost IG kuwa wewe ni dada yake na Lemutuz,napo utapata ukakasi na kuja kutuuliza hapa au utaignore coz siyo kwel???
 
baada ya kuona kwa mange ulimuuliza akakujibu nn????ipo siku mange atapost IG kuwa wewe ni dada yake na Lemutuz,napo utapata ukakasi na kuja kutuuliza hapa au utaignore coz siyo kwel???
Wewe ni me au ke?
 
Chakubanga nae ni wakukoboa? Au wanasaga tuu ??
 
Unataka ueleezwe mara ngapi? Wasafi TV/FM/Festival/Chibu Perfurm/Karanga ni vya kusaga,DImond percentage yake ni kama le Mutuz kwenye African Swahili Media ambayo inacheza kati ya 0.01% - 0.06%
 
watanzania katika ubora wao kama kawaida.nakumbuka kipindi cha JK kila kitu kipya mjini au mikoani ilikuwa ni cha Riz,amekuja JPM naona wanammilikisha PAul K kila kitu.majungu majungu tu

Mkuu unaweza kusema kimoja wapo walichosema kuwa ni cha Riz au Bashite ambacho si kweli?
 
Sasa kitu kinacho toka kwa mange kimambi una anzaje ata kukifikiria..dada chizi yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…