Mmiliki yoyote wa jengo huwajibika kwa kushitakiwa kwa madhara ya yanayoweza kuwapata watumiaji

Amosi Hezron

Member
Joined
May 4, 2019
Posts
10
Reaction score
9
#SheriaZetu

Kwa mujibu wa Sheria ya Daawa "Law of Torts" - Mmiliki yoyote wa jengo huwajibika kwa kushitakiwa
na kulipa fidia kwa madhara yoyote yanayoweza kuwapata watumiaji wa jengo husika ikiwa
watapata madhara yanayotokana na hitilafu yoyote wakiwa ndani ya jengo husika
 
OCCUPIERS LIABILITY LAW INASEMAJE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…