Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
Toka nijiunge humu galz wahumu siyo wakuoa wala kuolewa wamekaa kimajungu na kingono ngono muda wote wanawaza kugegedwa tu na wote wapo jukwaa hili la mapenzi siwaoni hata majukwaa ya muhimu wao ni story za tigo na kutafta mabwana mara natafta babu mwenye pesa mara natafta dume mwenye kipato hebu fanyeni kazi acheni mawazo ya kidwanzi tena mnajiita masister du wa kuomba ATM muda wote MPESA me kwa mwenendo huu hamponi full vidonge,tulidhani elimu itamkumboa mwanamke kumbe ndo inamuangamiza.namaliza kwa kusema karne hii hakuna mwanamke wa kuolewa nikumalizana hapa hapa kama biashara tushakula hasara nyingi men kama mmemaindi madada poa 😛leaseban: