Mmmh! Humu kweri hamna mademu

Nimepata copy yako.
nikienda kugegedwa nitampitia niende nae TUKAGEGEDWE WOTE naona ana kiu huyu!!!!!!!

Ningeshangaa sana usingekuwa humu.

Inaonekana huyu aliyeanzisha mada kasimuliwa na wenzake jinsi ambavyo hamjui kukataa, cha ajabu mkamkataa na sasa naona consequences za kumkataa zinawafanya mtoke povu. Ngono zitawauwa, saa zote mnajadili miili yenu
 

Na wewe yamekukuta yepi? Dunia imefika pabaya, hamna mwenye nia nzuri. Kama ulikuja kutafuta mke humu umeliwa. Mke hapatikani katika jamii ya wanawake wenye kujadili ngono saa zote kama humu. Jaribu unakosali au unakofanyia shughuli zako, hapa ni mabua tu.

Tena kwa taarifa yako huu ni mtandao na mmoja wao akikosekana tu huwa wanauliziana ili waendeshe mijadala ya bikra ambazo hata hawakumbuki zilipotelea wapi na mwaka gani. Hiki ulichofanya kitakusababishia tu bifu na huu mtandao wao
 

Nawe utakuwa na kiu pia TWENDE TUKAGEGEDWE bwana angu ana nguvu za simba!!!!!!!!!
 
Can we attack the topic and not the dogo as you all call him please...
 
Sijaona sababu ya kum-attack mtoa mada kiasi hicho!kama kaongea ukweli au uongo basi Ni bora mmjibu kwa hoja sio kejeli na matusi,havijengi bali mnajivua nguo.Ushauri wangu tu kwa wadada wa JF!
 
Kwa hiyo tuoe wanaume wenzetu au?
 
Mwacheni taarifa zake ninazo! Kuna Doctor wa milembe! Kaniambia kuwa kuna mgonjwa wa akili kakimbia wodini na hajamaliza dozi yake!! Pia ni mmoja wa majeruhi wa ajari ya NECTA!! Nahic atakuwa huyu!
 
Inaelekea umetendwa na mmoja wa humu ndani, na inaonekana unastress sana ndio maana unaongea kwa kashfa, by the way pole sana, na hata ukitafuta msichana usipende kutafuta katika mitandao yakijamii, maana hujui background yake, alikotokea na hata tabia yake kwa ujumla, mwishowe utaokota visivyookoteka na utaanza kutumia vidonge!! Pole sanaaa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Dah kuna wadada nawaheshimu humu ndani halafu wewe unaleta kashifa kiasi hiki. Halafu kama unakutana na walu walu ujue na wewe ni waluwalu "law of attraction", kwa hiyo kabla hujaanza kuwaponda na wewe jicheki kwa nini unakutana nao.
Umeuwa bwana hata mjadala naona unafia hapohapo sijui kama kuna komesha zaidi ya hii
 
Dawa zote zitibize malaria nia kali sana DAWA NI DAWANOL... tunasubiri kuwaona nani analalamika sana jiwe litakuwa limempata GIZANI.... mimi SIMO ila..
 
We mbulula si ukojoe uvae pampasi ukalale huko........dada poa mama yako na dada zako......kunguru wewe
 

Mpaka hapo hoja yake ni fallacy, i.e. fallacy of generalization. huwezi sema mademu wa jf....angesema baadhi hapo kungekuwa na uwanja wa kujadili lakini anaonekana mbishi na mwenye kusudi la kuchafua tu watu badala ya kuleta hoja ya kujenga na kujadiliwa. kwa fact hii hoja yake inakosa mshiko na ni lazima ashambuliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…