menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
nikisema unakurupuka utaudhika kwa lipi?Kwenu wana jamvini naja kwenu kama kawa na mada hii hivi karibudi kumezuka tabia ya ajabu ndani ya ndoa wanawake wengi wamekua wakilalamika kuwa waume wao wamekua wakitaka mtindo wa kuruka ukuta yaani TIGO lakini pia huko U.S.A asilimia 40 ya wamerakani hufanya mchezo huo.mmmmh!! Jamani ni kipi kinapelekea watu kushabikia mtindo huu ambao ni kinyume cha mila na desturi za kiafrica??
Kwenu wana jamvini naja kwenu kama kawa na mada hii hivi karibudi kumezuka tabia ya ajabu ndani ya ndoa wanawake wengi wamekua wakilalamika kuwa waume wao wamekua wakitaka mtindo wa kuruka ukuta yaani TIGO lakini pia huko U.S.A asilimia 40 ya wamerakani hufanya mchezo huo.mmmmh!! Jamani ni kipi kinapelekea watu kushabikia mtindo huu ambao ni kinyume cha mila na desturi za kiafrica??
Naona umeguuuuuuswa. pole sana.Yalishaongelewa!Jifunze kupitia na kusoma yaliyopita!
kwani tukizungumzia tena kuna ubaya gani?? Au nawewe ni member? kwenye hicho chama coz naona kama umekasirika vile.Acha hizo lizzy.
Nimeguswa kwa lipi?Naona umeguuuuuuswa. pole sana.
kwenu wana jamvini naja kwenu kama kawa na mada hii hivi karibudi kumezuka tabia ya ajabu ndani ya ndoa wanawake wengi wamekua wakilalamika kuwa waume wao wamekua wakitaka mtindo wa kuruka ukuta yaani tigo lakini pia huko u.s.a asilimia 40 ya wamerakani hufanya mchezo huo.mmmmh!! Jamani ni kipi kinapelekea watu kushabikia mtindo huu ambao ni kinyume cha mila na desturi za kiafrica??