mmmh! jamanii! tuko pamoja tena! eh! mi yangu macho!

mmmh! jamanii! tuko pamoja tena! eh! mi yangu macho!

Swahilian

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2009
Posts
591
Reaction score
69
aah! nd, zangu mbona hivyoo! mnafika huku hata kunishtua! au mliogopa ntashtuka na kuanguka kwa shinikizo? si tatizo ningeamka tu hata isingekuwa tatizo! lakini unajua nini mwenzio! aah! aloo nimefurahi sanaa na simanzi na upweke wamenikimbia sasa hivi kisa nimekwona, si unawaona Furaha na Upendo wanavyojisogezaa! sasa fanya hivi, waambie watulie pale ili niwape nyie wote zawadi ya huyu mbuzi ndafu kila utafunapo kipande unapokea SALAAM ZANGU!
 
Back
Top Bottom