-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngima dearest jua kabisa kama ni distance relationship nijibu maswali haya b4 sijaanza kukanseli
-how often do you go or visits you?
- mnamahusiano ya muda gani?
-mmewah kudefine terms and conditions za future yenu?
-mwanzoni alikuwa amekusave kwa jina gani?
-alikuomba ukamtembelee au ulimsuprise? jibu
Kila kitu kipo wazi jua kuna mtu anakusaidia ukiwa haupo,ndo tabia ya wanaume malaya hiyo unaweza kuta umeseviwa scania au bajaji! Pole mwayego!
Hahahah dah!!
Ushauri toka kwa ODM...... Zingatia alichokuambia King'asti hap juu.
Mungu akuhurumie na akuongoze katika njia zako!
Amen!!
kwa hyo hlo tatizo ni spesho kwa mtu mmoja tu?nipo seriuz huo mda wa kukopy na kupaste cna kaka.Hahahaha! Wilfred ama Hamisi?
Pole mwaya, samahani kicheko kimeniponyoka. 1+1=11 (source: ODM, 2010). Ji-edit jina lako uandike atm, ama dobi afu muachie simu yake hapo.
Hatua ya kwanza alikusave kwa kutumia romantic name, hatua ya pili ametumia jina la rafiki yake, hatua ya tatu ataku-delete au atatumia: msumbufu-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngi
-tulipanga wote kwamba niende,mahusiano yetu ni mwaka wa 3 sasa,and mwanzon alinisav na romantic name
Bibie gfsonwin hapo juu. Pokea salamu za dhati toka kwa ODM.
Ujumbe; Kulala si kufumba macho, huwa unalala sangapi na leo ni jumangapi?
Swali la leo: Umemsevu ODM kwa jina gani kwa foni yako?
-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngi
-tulipanga wote kwamba niende,mahusiano yetu ni mwaka wa 3 sasa,and mwanzon alinisav na romantic name
Mungu amuhurumie katika uzinzi wake na kumsaidia eeh?
Babu bana, furahi dei umeamka na hangover za furaha! Hebu pata morning glory kwa hisani ya Miss Judith,lol
eth ananiambia alikuwa anataka anitest reaction yangu itakuwa vp thts wy akafanya hvyoMmmmmmm
Hapo hauko peke yako!!!!!!! Poleeeeeeeeeee
cjakupata hapo unamaanisha nnushauri wangu siyo kila kulia ni kuomboleza, ama siyo kila kucheka ni kufurahi.
Khaaa! Ntakusemea kwa mkoloni wangu hapa.....nashukuru sana Asprin.
leo ni siku ya j1-alhamis.
Binafsi miye huwa silalagi na niko hivyo tu, bukini, mbuni, samaki, nguruwe, ng'ombe mbuzi, kuku mabata maji bustani watoto wafanyakazi vyote nitavimuduje kama nikilala? maisha ya kijijini magumu sana heri nyie mkaao town, huko kujipamba, na kupanda magari kwend job na kunywa bia ndio kazi.
wewe itabidi nikusave gari la taka