Mmmh wanaume mtatuua mwaka huu katika mapenz


Umekata point isipokuwa tu hapo kwenye pete. Siku hizi pete siyo kinga tena. Ukivaa pete za ndoa unavutia watani za jadi wengi zaidi kwa hiyo kuna waheshimiwa wanazivaa hata kama hawana wake. Sijui ladies mmekuwaje siku hizi.
 
mapenzi kweli kizungumkuti. mimi wa kwangu alizua ugomvi kisa sijam save darling, baby, sweetheart, etc etc... nilim save kwa jina lake tu. eti kwanini yeye kanisave kama honey, mimi mimem save kwa jina lake. Yaani ilikua ugomvi mpaka sasa haujaisha vizuri. Aso na hili ana lile. Pole Van l, hiyo ni ishara kua mko lukuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…