Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Nipo pande za Ukonga huku napata sharbat basi kuna wahudumu kama wawili hivi wanapita kuwahudumia wateja hapa nilipo nimekoma kinoma kwa hawa wahudumu wawili.
Alafu wote vijana wa kiume, hila mhudumu mmoja inasemekana mtoto sio Ridhiki vijana wa mjini wanasema 'Punga' sasa balaa linakuja wanapopita hapa wana harufu kali ya kikwapa mpaka inakuwa kero mpaka nasikia kutapika! Kwa kweli mpaka nataka niondoke hii sehemu bila kupenda na msosi nilioagiza nisamehe pia!