Mmmhh! Balaaa

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Nipo pande za Ukonga huku napata sharbat basi kuna wahudumu kama wawili hivi wanapita kuwahudumia wateja hapa nilipo nimekoma kinoma kwa hawa wahudumu wawili.
Alafu wote vijana wa kiume, hila mhudumu mmoja inasemekana mtoto sio Ridhiki vijana wa mjini wanasema 'Punga' sasa balaa linakuja wanapopita hapa wana harufu kali ya kikwapa mpaka inakuwa kero mpaka nasikia kutapika! Kwa kweli mpaka nataka niondoke hii sehemu bila kupenda na msosi nilioagiza nisamehe pia!
 
jmn hao ci rzki wangejfcha maana kpnd ch Mfungo hili loh!
 
Umeokota dodo chini ya mchongoma au umeokota mchongoma juu ya dodo?

Hongera lakini kwa kunyatianyatia kusikojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…