mmmhhh tcu mbona siwaelewi!

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
jamani kuna kozi hiyo nikiweka first choice inadisplay NO. nikiweka second ina andika YES. msaada mwenye kujua hayo mambo
 
jamani kuna kozi hiyo nikiweka first choice inadisplay NO. nikiweka second ina andika YES. msaada mwenye kujua hayo mambo

duuh Pole! ila jaribu kufanya kama wanavyotaka, ila cjui kwa nn inakuwa hvyo
 
kwenye kuchagua wanatumiga utaratibu gani ati?
 
wanachagua ktkana na 1st choice yko mpka mwisho, bt kpao mbele kle kle kwa 2nd choice yko kma wengne wameiweka as 1st choice yaoo! Ikitokea umekosa kwny 1st choice yko so! ucogpee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…