Mmmmh Huyu jamaa ananusa nini?

Nadhani ana tabia kama ya beberu la mbuzi, mzuka hadi a-smell
 
Jamani Dada zetu uu! Yaani wamepoteza maadili kabisa! Halafu na huyu mshkajiii. Hizi tabia kazianza lini?
 
dada kavaa sketi ya mdogo wake naona kama haimtoshi vile:rolleyez:
 
Yaani anakagua kama "kufuli" inaonekana kwa nyuma binti akitembea mbele za watu
 
anacheck km gari iko fresh..........
 
Anacheck Oil kwenye gari, kabla hajaondoka nalo!!!!!!!!!Afanaleki, kufa hakuna breki!!!!!!!!!
 
Anacheck Oil kwenye gari, kabla hajaondoka nalo!!!!!!!!!Afanaleki, kufa hakuna breki!!!!!!!!!

اسغفر الله العضيم
 
Huyu jamaa ni fundi gereji by profession, kwa hy hapo alikuwa anacheki kama injini inavujisha oil au seal ipo tight! Hlf gari yenyewe ni used ya kenya kwa hiyo inabidi aikague kwa umakini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…