Mmmmmh hawa wapenzi hivi wanawaza nini kila mmoja hapa?

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401



Mme : najuta kwa nini nilimuoa huyu mwanamke namkumbuka hata X wangu maskini nilifanya mistake gani mie ? mwanamke ,mbishi ,mjuaji ,si msikivu bora ninywe tu beer hapa hakuna suluhu

Mke : mmh jamani hivi huyu ndo mme mwema kweli mungu aliyenipa mwenzenu mme ,mlevi , anarudi usiku wa manane, jtatu mpaka jpili yuko busy ,akiwa home yuko busy na simu na vi-sms, mbona mme /mpenzi wa Z hayuko hivi, najuuuta kumfahamu..mungu nisaidie mie nitasolve vip matatizo haya

jambo usilolijua .....

Tafsiri ya picha wadau!
 
hawa wako kwenye mchakato wa kutengeneza tamthilia
 
Ndoa inahitaji muongozo kutoka kwa mungu la sivyo ndio mambo kama hayo yanatokea kila kona ya dunia ..
 
Hawa wako Counter. kwanza sio wapenzi. na wote wanaangalia TV. Huyu jamaa anaangalia Taifa Stars ilipopigwa bao tano na Misri. na huyo wa kike, anaangalia kipindi cha Matukio ya wiki cha ITV...Wafuasi wa Chadema walipopigwa na Polisi Arusha.
 
Duh sina msaada, kama mwanaume anauvuta mdomo hivyo, eeh mkigombana huyo hakusemeshi mwezi walaah.
 
How did we get here......?, He/She has changed Sooo Much....., Oooh the good old days...., Its about time I find someone else, and dump this....
 
" No. enough is enough! Its time to be apart coz things are already apart!....................
 
Kaka:Hivi nimefanya kosa gani tena jamani?Kusema hataki anabaki kulalamika tu nonstop! Dada:Mhhh eti anajifanya hajui alichofanya...as if!Makosa yake alafu wa kujieleza niwe mimi!
 
Wamekasirikiana hao. Ila mwanaume alivyonuna huyo anaweza asikusemeshe mwaka
 
Mmmh! Kwani aliyesema mabusiano na ndoa ni tamu tuu ni nani?
 
Kwa nini sikufikiria vizuri kabla sijamkubali huyu? dada!
Ningejua nisingemtokea kabisa, bora ningekaa peke yangu!! Kaka!!
 
Hao jamaa wa chini:
Mme: Hivi huyu mwanamke mbona amezidi kunidharau sana kila nitakachosema yeye ndo anazidi kuja juu mwanamke hajui hata kunyenyekea kwa mumewe. Hapa mtu mzima inabidi nianze kutafuta mechi za nje niwe napata faraja ikibidi nijenge kibanda kabisa.
Mke: Na safari hii mpaka akome hapa undava undava hakuna kumuachia apumue haki sawa kwa kwenda mbele na nitaanza na kumpangia awe anapiga deki ndani. Kwanza siku hizi hata anifikishi sijui nitafute mwingine serengeti boys?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…