MMmmmh!.......nimeathirika........................ .......

Ahaa.... hebu:

Mabinti wawili mapacha wanaoishi sehemu moja na kula chakula cha aina moja na kupata kila kitu sawa sawa.......... elasticity inakuwa sawa?
 
Ahaa.... hebu:

Mabinti wawili mapacha wanaoishi sehemu moja na kula chakula cha aina moja na kupata kila kitu sawa sawa.......... elasticity inakuwa sawa?

haiwezi kuwa sawa 100%! bado kuna factors zingine.. hata mazoezi ya viungo nayo yanaalter elasticity. lool
 
anaonekana anampenda sana mke wake ile mbaya..

Anampenda mtu asiyekuwepo tangia miaka mitano iliyopita?

Anampenda Marehemu? Sio hata alimpenda na kwa kuwa hayupo ameamua kuyakubali mapenzi ya Mungu na kuikubali hali halisi?

Kwa nini aliamua kuoa kama bado anampenda marehemu mke wake?

Haoni kama anamuumiza huyo mke mwingine aliyekubali kuolewa naye pamoja na hiyo hali yake ya kufiwa na mke?

Huyu kaka ana tatizo ambalo dawa yake ni yeye mwenyewe.....Si sawa kabisa kumlinganisha mtoto wa watu na Marehemu mke wake.

Kama bado anampenda asingeoa.......................angekaa tu aendelee kumpenda huyo marehemu mke wake.
 
Pole zake,alitakiwa akae muda wa kutosha na kutafakari kabla hajaingia mahusiano mengine.

muda wa kutosha ni upi hapo Ulimakafu?
jamaa alikaa miaka 2, je hiyo haitoshi?
 
samora, naona unatafuta maneno na akina Husninyo weye,
shauri lako...........................
 
We Samora ntake radhi..... mi natumia VodaCom bana......khaaa!

ha ha ha haaaa babu nisamehe, ila kwa umri wako umeona na kusikia mengi bana... si vibaya kushare na wajukuu

Nimeona mengi lakini si MINATO lol
Nlienda kwenye kikao cha harusi wakawa wanaulizia gharama za picha za MNATO.......... nilitoka mkuku nikapiga breki chooni...Khaa!

Samora.....Mnato uko ubongoni mwa mtu. Vile vitu viko sawasawa. Ni elastic!

ha ha ha haaaa lol.. nimekusoma babu

Unaweza kunipa vitu vinavyofanya elasticity ya kikojoleo cha mwanamke ku-vary?

Ahaa.... hebu:

Mabinti wawili mapacha wanaoishi sehemu moja na kula chakula cha aina moja na kupata kila kitu sawa sawa.......... elasticity inakuwa sawa?

haiwezi kuwa sawa 100%! bado kuna factors zingine.. hata mazoezi ya viungo nayo yanaalter elasticity. lool

nyie bandugu, tunaongelea jinsi ya kumsaidia huyu mwathirika
anaekula tunda kwa stimu za kusikilizia nyie mnaweka mambo yenu ya elasticity?
waoneni kwanza na maelasticity yenu...........................................?khaaa......
 
Duh samahani mkuu.....hatukujua kuwa NYUKI hapigwi BUSU........................
 
...in a nutshell (kifuu)...huyo bwana anafanya mapenzi na MAITI!
 
sawa kiongozi, nakubaliana nawe....................

...mnh, sijui akimaliza anamuombea dua? au anamsumbua tu marehemu huko alikolala..
aaarrghh, ...jamaa inabidi akaonanae na pychiatrist...
 
...mnh, sijui akimaliza anamuombea dua? au anamsumbua tu marehemu huko alikolala..
aaarrghh, ...jamaa
inabidi akaonanae na pychiatrist...
[/QUOTE]

hilo ndo la msingi!!!
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…