Mmmmmh!!! This is funny lol!

kwahiyo kwakuwa w.end imekaribia ndio kapata nguvu, ila j3 yuko hoi bin taaban!!
 
ulevi noma, heko kwa walevi wote maana kila mwaka kodi inapanda ila hawakati tamaa, ni walipa kodi waaminifu kweli

Jumatatu yuko hoi bin taabani kwa sababu weekend alikuwa kwenye hiyo chupa kalowa tepetepe!
 
ulevi noma, heko kwa walevi wote maana kila mwaka kodi inapanda ila hawakati tamaa, ni walipa kodi waaminifu kweli
ila hata kama wewe siyo mnywaji ni vema ukawa unapata mbili tatu siku moja moja kwani pia huwa zinanogesha yale mambo ya kitandani usiku!
 
ooooh so ndivyo unavyofanya eti!! hapana aisee pombe ni big nooo!! kunyweni tu nyie wenye wito nayo.

ila mdada akinywa huwa anapendeza sana, huwa napenda wanavyorembua macho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…