Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Sina la kuongezea hapa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umefikiria nini kwny hiyo picha?...
Sina la kuongezea hapa....
![]()
ukiwa na homophobia
utajikuta hata mtu akikugusa hivi labda
kwenye daladala au foleni ya luku hivi
au kwenye kikapu unataka kupigana..
pengine hakuna lolote ni hisia zako tu....
Nahisi kilichotokea hapa ni kwamba walikumbatiana tu halafu ikatokea ajali wakajikuta wanaanguka kama wanavyoonekana! Hakuna lolote la kustaajabisha hapa!