ok nilimaanisha fair! si fair hapo uliposema wife anasafiri....Sorry, leo sijavaa mawani yangu........... ulimaanisha fair au? Kama ni hivyo ulitaka aendelee kufanya siri siyo? So infidelity inakuwa fair ikifanyika kwa siri? Sasa nimekuelewa vema!
Kwetu,unapoolewa kaka yako ndie anakutoa kwa mumeo uolewe nae......anawajibika kwa mengi katika ndoa yako.SIKU ILE YA HARUSI ANGESEMA SITAKI UOLEWE INGEKUWAJE?......UTAONA FAIDA YAKE UTAKAPOPATA MATATIZO(SIYAOMBEI YAJE)....MUME ANAWEZA AKAAMUA KUKUPIGA CHINI.....LAKINI UNDUGU NA KAKA YAKO UPO PALE PALE..HAIFAI KUMKASIRISHA.And why on earth should she tell her brother while she is answerable to her husband?
Mi hata siwaelewi. Huyo kaka anamsaidia kuukabili mtarimbo wa mumewe? UKISHAAMUA KUOLEWA PRETTY WANGU, unaachana na Baba na mama yako na vinavyohusiana nao unaelekeza nguvu, juhudi, maarifa, akili, muda na mwili wako (hasa uke wako) kwa MUMEO NA FAMILIA YAKO. Period!
Sasa hizo habari za kwenu ndo unaleta hapa!Kwetu,unapoolewa kaka yako ndie anakutoa kwa mumeo uolewe nae......anawajibika kwa mengi katika ndoa yako.SIKU ILE YA HARUSI ANGESEMA SITAKI UOLEWE INGEKUWAJE?......UTAONA FAIDA YAKE UTAKAPOPATA MATATIZO(SIYAOMBEI YAJE)....MUME ANAWEZA AKAAMUA KUKUPIGA CHINI.....LAKINI UNDUGU NA KAKA YAKO UPO PALE PALE..HAIFAI KUMKASIRISHA.
Kwetu,unapoolewa kaka yako ndie anakutoa kwa mumeo uolewe nae......anawajibika kwa mengi katika ndoa yako.SIKU ILE YA HARUSI ANGESEMA SITAKI UOLEWE INGEKUWAJE?......UTAONA FAIDA YAKE UTAKAPOPATA MATATIZO(SIYAOMBEI YAJE)....MUME ANAWEZA AKAAMUA KUKUPIGA CHINI.....LAKINI UNDUGU NA KAKA YAKO UPO PALE PALE..HAIFAI KUMKASIRISHA.
Sasa hizo habari za kwenu ndo unaleta hapa!
And why on earth should she tell her brother while she is answerable to her husband?
Mi hata siwaelewi. Huyo kaka anamsaidia kuukabili mtarimbo wa mumewe? UKISHAAMUA KUOLEWA PRETTY WANGU, unaachana na Baba na mama yako na vinavyohusiana nao unaelekeza nguvu, juhudi, maarifa, akili, muda na mwili wako (hasa uke wako) kwa MUMEO NA FAMILIA YAKO. Period!
1.Mhakikishie kaka yako kuwa utazidisha bidii ya masomo na utafaulu sana.
2.Mweleze mumeo kuwa masomo kwako ni muhimu sana sana hivyo unategemea support kubwa toka kwake.
3. Nawe pia fanya juu chini usome kwa juhududi zote,ikiwezekana hata ndimu tembea nayo kwenye bag ili usipoteze muda wa kwenda kuitafuta gengeni ili uzuie kichefuchefu(just in case).Perfomance yako ikishakuwa nzuri, kamwonyeshe kaka .......utaona atakavyochekelea.
tatizo mkuu huwa huendi mara kwa mara kwenye maharusi, pale, utakuta kaka anamkabidhi dada yake aolewe mbele ya kadamnasi,yanayofanyika kwetu ndio hayahaya hufanyika karibu kila sehemu, ha ha ha ha.Sasa hizo habari za kwenu ndo unaleta hapa!
hiyo kali4.baada ya hapo beba mimba nyingine kumuonyesha kuwa hata wewe kweli ni kijike na unamjali mumeo na familia yako....naamini hapa amani itakuwa pote kwa kaka na mume!!! :lol:
Kaka huyo ni wa aina yake!..We muache atakubaliana na hali halisi kurudisha moyo!..Vizuri ujitahidi shule&maisha ili umwonyeshe kuwa unaweza kuhimili mikiki ya maisha na kufanikiwa..
Ushauri mzuri. Ila BJ kwa usalama wa baioloji yangu na usalama wa hawa mabinti hapa kibaruani na kwa ajili ya ufanisi mzuri wa kazi na kwa ajili ya usalawa wa screen ya kompyuta yangu, nakuomba kwa nia njema kabisa uibadili hiyo avatar yako.Kaka huyo ni wa aina yake!..We muache atakubaliana na hali halisi kurudisha moyo!..Vizuri ujitahidi shule&maisha ili umwonyeshe kuwa unaweza kuhimili mikiki ya maisha na kufanikiwa..
hiyo avatar mama....mwaaahh.