Mmmmmm!! Kaka hanielewi baada ya kuvunja ahadi

Asprin .................unaweza kuja shangaa ukiambiwa huyo Pretty bado anakula maisha kwa hela ya kaka!

kama kaka bado anahusika kwenye uchumi wa familia ya pretty na mumewe lazima atapata mdomo wa kusemea yote hayo.
 
Hivi mwenye mamlaka ya kumjaza mwanamke ujauzito ni MUME au KAKA?:violin:

Hili swali tata ila jibu rahisi ni MUME...usikute kaka ana wivu zaidi ya tunaoufikiria, au dada yake mrembo sana?!..teh teh
 

Hee Asprin umenishtua, usije kusababisha matatizo hapa!..Haya, your wish is my command, only kwa avatar ha ha...

Haya, back to kaka mwenye wivu!..
 
Ufafanuzi zaidi tafadhari

kwa sasa ni nani anahudumia, analipa tuition fees n.k

Kama ni kaka lazima imuume, alitegemea umalize ujitegemee ndipo uolewe.
Otherwise ataelewa kadri siku zinavyosonga.
 
Kaka anamaanisha.. hana wivu.. anamtakia mema my sister wake.. Jaribu kumsihi na kumwomba radhi ya kuwa hukutegemea kuipata hy mimba.. ni bahati mbaya tu.
 
...Huenda bro roho inamuuma anapoona sister ana ujauzito maana yake kuwa kuna njemba limefanya mambos...upendo mwigine mtu anatamani dada yake asiguswe kabisa...ndio huyo kakaye!!
 

Pole sana Mrembo, mikaka mingine ndivyo ilivyo. Hajui hayo anayoyafanya yanaweza kabisa kuchangia matatizo kwenye ujauzito wako. Kama bado hataki kukuelewa kwamba wewe ni mtu mzima sasa na unaweza kufanya maamuzi yako bila ya kuingiliwa na yeyote, basi jaribu kumuepuka mpaka utakapojifungua ili kuepusha matatizo katika ujauzito wako. Kila la heri.
 
Inavyosomeka bro ana aleji na mimba na anawachukia watoto . Pia inaonekana hapendi majukumu kabisa. Unapomtembelea wewe msifie mumeo na tena kilichotokea jana yake kuwa mtanunua gari na bwana wangu kapanda cheo mpe story uone kama atamsifia unayempenda.
 
ulishawahi kuongea nae kinagaubaga juu ya hilo? yawezekana alikuwa na malengo mazuri sana na wewe hapo baadae. anyway umeishaolewa tunategemea uwe na independent thinking whether utamuuzi kaka au nani unachokiangalia ni familia yako na furaha ya ndoa yako.
 
Hili swali tata ila jibu rahisi ni MUME...usikute kaka ana wivu zaidi ya tunaoufikiria, au dada yake mrembo sana?!..teh teh
Unajua kuna makaka wengine huwa wanawamega dada zao. Kuna mtu anabisha hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…