Mmoja afariki kufuatia kipigo cha polisi.

Mmoja afariki kufuatia kipigo cha polisi.

Hapo hutamsiki pompeo wala EU ila dadeki ingetokea bongo wangechonga balaa, Kenya ni koloni LA mabeberu bado
alikufa akwilina aisee atukunywa maji.
akifa mtu kwenye siasa anathamani kubwa lkn akifa kama yule mfanyakazi alie uwawa na bosi wake arusha wala hakuna kelele tena watu watasahau fasta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom