Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Mar 29, 2020 #1 Polisi wa Kenya nishai tupu.
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,113 Reaction score 17,645 Mar 29, 2020 #2 Magonjwa Mtambuka said: Polisi wa Kenya nishai tupu. Click to expand... Ukiangalia aliye post huu uzi ndio utajua kilichopo hapo ni mashidu tupu
Magonjwa Mtambuka said: Polisi wa Kenya nishai tupu. Click to expand... Ukiangalia aliye post huu uzi ndio utajua kilichopo hapo ni mashidu tupu
mmh JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 2,910 Reaction score 5,084 Mar 29, 2020 #3 Hapo hutamsiki pompeo wala EU ila dadeki ingetokea bongo wangechonga balaa, Kenya ni koloni LA mabeberu bado
Hapo hutamsiki pompeo wala EU ila dadeki ingetokea bongo wangechonga balaa, Kenya ni koloni LA mabeberu bado
Mkikuyu- Akili timamu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 4,310 Reaction score 7,465 Mar 29, 2020 #4 Wala hautasikia neno hadi moja kutoka kwa wanaharakati ama Pompeo. Watanzania mchunge sana, ni wazi mabeberu hawawatakii mema, Magufuli kawabana sana
Wala hautasikia neno hadi moja kutoka kwa wanaharakati ama Pompeo. Watanzania mchunge sana, ni wazi mabeberu hawawatakii mema, Magufuli kawabana sana
The golden JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 1,382 Reaction score 2,582 Mar 29, 2020 #5 Askari wa Kiafrika wanapaswa kupewa amri kwa uangalifu mkubwa Sana, ukiwaacha tu wanaweza kuleta tabu kubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
Askari wa Kiafrika wanapaswa kupewa amri kwa uangalifu mkubwa Sana, ukiwaacha tu wanaweza kuleta tabu kubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Mar 29, 2020 #6 mmh said: Hapo hutamsiki pompeo wala EU ila dadeki ingetokea bongo wangechonga balaa, Kenya ni koloni LA mabeberu bado Click to expand... alikufa akwilina aisee atukunywa maji. akifa mtu kwenye siasa anathamani kubwa lkn akifa kama yule mfanyakazi alie uwawa na bosi wake arusha wala hakuna kelele tena watu watasahau fasta. Sent using Jamii Forums mobile app
mmh said: Hapo hutamsiki pompeo wala EU ila dadeki ingetokea bongo wangechonga balaa, Kenya ni koloni LA mabeberu bado Click to expand... alikufa akwilina aisee atukunywa maji. akifa mtu kwenye siasa anathamani kubwa lkn akifa kama yule mfanyakazi alie uwawa na bosi wake arusha wala hakuna kelele tena watu watasahau fasta. Sent using Jamii Forums mobile app