Huyo aliyefyatua lazima atakuwa ni Mmoja wa ile dini yenu tu....na Kwa Mujibu wa dini yenu, ukifanya jariobio la kujitoa Muhanga, lika fail (Alitaka kuwaua Polisi) basi we Jehanamh lazima uionje, UongoAlyaua ni mmoja tu ambaye alifyatua hilo bomu na wengine wote walikuwa mashuhuda.
I can smell something fishy here!!!
2Alyaua ni mmoja tu ambaye alifyatua hilo bomu na wengine wote walikuwa mashuhuda.
ni kawaida yao na wataweweseka sana.Kamuhanda yupo wapi? Na iweje apelekwe mahakamani kabla TUME YA NCHIMBI HAIJATOA MAJIBU? Polisi Wamekurupuka!
Haiwezekani, huu ni uonezi, wanaotakiwa mahakamani ni polisi wote waliokuwepo eneo la tukio ama kwa kesi ya kujeruhi ama kusababisha mauaji ama kuua, hakuna hata mmja anayetakiwa kuachwa hapo. Lazima tupige kelele kwa hili, kuanzia rpc mbaka yule mkuu wa upelelezi wafikishwe mahakamani, nasisitiza hatakiwi kuachwa hata polisi mmoja kila mmoja ana kesi ya kujibu hapo
wameshapanga mchezo jamaa aseme hivyo ili ukweli mkubwa kuliko yote ufichike kisha wamuhukumu kiaina na kisha wampeleke wanakokujua akale bata lakini aliyetufanya tulijue hili atatuwezesha kuyajua machache wanayoyaficha yakiwemo ya mtaalam wa kuratibu mauaji katika mikoa tofauti mchukiwa sana kamhanda.mungu amjalie kamhanda kifo kibaya cha mapema na cha aibu.Tuna subiri habari zaidi ili tuweze kuchangia. Nafikili wote ilikuwa wafikishwe Mahakamani. Kwani kulikuwa na Common intention ya kumuua Mwangosi. Mwangosi tutakupigania, na tunakuhakikishia kwamba uonevu mkubwa uliofanyiwa hautaenda bure wote waliohusika watalipa ikiwa ni pamoja na serikali ambayo kwayo Polisi wanawajibika.Tunakulilia sana Mwangosi. Ndugu yako Mwakyembe na Ulimboka walibahatika kupona. Lakini wewe umekwenda kwenye haki. Nalia sana nikisikia simulizi ya waandishi wenzako mliokuwa nao Nyololo. Hawa kukuacha peke yako walichukua picha zenye kuonyesha tukio Zima. Polisi walitaka kuwasingizia raia. Lakini wamekwama kwa msaada mkubwa wa makamanda wenzako. Sijapata kuona kifo cha kikatili katiak siku za karibuni kama chako. Lakini polisi si mara yao ya kwanza ,si manakumbuka Imran Kombe. Nasikia wote walisamehewa na Raisi Mkapa.
hata kama utachelewa wakati huo utafika tu dalili zi mlangoni.Huyu alitekeleza amri ya mkuu wake, sasa iweje mtoa amri aendelee kula kuku alizonunua baada ya kutimizi matakwa na maagizo ya kamati kuu ya wenye sare za rangi ya kijani na njano? Haki bado haijatendeka na ili ipatikane inabidi kuitafuta kwa namna yoyote.
Alyaua ni mmoja tu ambaye alifyatua hilo bomu na wengine wote walikuwa mashuhuda.
Alyaua ni mmoja tu ambaye alifyatua hilo bomu na wengine wote walikuwa mashuhuda.
Do the State Attorney in charge of Iringa and the Prosecutors know 'the doctrine of common intention?' Under the doctrine all police officers present at the scene when Mwangosi was killed should have been charged for murder and conspiracy to commit an offence ie murder. Even if the 'accused' confessed, all evidences, photos and testimonies of people present show that other police officers were beating Mwangosi shortly before he was killed, in fact the RPC consented as he did not stoped the beating. To let other police officers walk free without charging them even for causing grievous bodily harm is a mockery to the family of the deceased, general public and to the legal profession.
Si nilisema hawa policia wetu ni pambaf!!!
Tume ya kazi gani wakati ushahidi wote uko wazi?