Mmoja wa ‘Wauaji’ wa XXXTentacion Akamatwa

Mmoja wa ‘Wauaji’ wa XXXTentacion Akamatwa

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
0621-xxxtentacion-insta-2.jpg

XXXTentacion.



MMOJA wa watu wanaotuhumiwa kumwua mwanamuziki wa Marekani, XXXTentacion, aliyetajwa kwa jina la Dedrick Williams, amekamatwa.

Mwanamuziki huyo aliuawa na watu wanaosemekana walikuwa wawili wakati anaondoka katika duka la pikipiki huko Pompano Beach, Florida, Jumatatu wiki hii.
Watu hao wanasemekana walikuwa wamefika dukani hapo na baadaye kumsubiri wakati anatoka nje na kumwua ambapo walichukua mfuko mdogo kutoka katika gari la marehemu na kuondoka.

0621-dedrick-williams-mugshot-2.jpg

Mtuhumiwa Dedrick Williams.

Kamera za usalama zimemwonyesha mtu aliyekuwa amevaa T-shirt nyeupe na ‘kandamili’ za rangi ya machungwa iliyochuja, jambo ambalo polisi wamesema mtuhumiwa huyo ni Dedrick, kwani hata picha yake moja kwenye mtandao wa Facebook imeonyesha ana mavazi hayo.

0622-dedrick-williams-sandles-3.jpg

Mavazi anayotuhumiwa kuyavaa Dedrick siku ya mauaji.
 
Hatari sana kashatatuliwa malinda
 
Hata kma wanakanusha, lazima aliwe kiboga atakuwa na maisha magumu sana
 
Back
Top Bottom