Mmoja wao akiwahi atapiga bao sokoni

Mmoja wao akiwahi atapiga bao sokoni

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
Kati ya hivi ving'amuzi Continental HD 2 cha Star Tv na Digitec cha ITV kimoja wapo kikiwahi kuingia sokoni hivi sasa kitauzika sana kuliko kingine kwa sababu market demand ipo juu sana. Startimes wamesha jiharibia soko kutokana na ving'amuzi vyao kuwa havina kiwango eti geuzia Kisarawe upate Local chanels.
 
Walikuwa wapi siku zote wangeleta mapema kabla ya Star Times wangeuza sana kuna wengi wamelazimika kununua Star Times kwasababu hawakuwa na alternative
 
Hamna noma, tunaanza na nusu digitali halafu baadaye tunaingia digitali kamili. Ni hatua kwa hatua.
 
Walikuwa wapi siku zote wangeleta mapema kabla ya Star Times wangeuza sana kuna wengi wamelazimika kununua Star Times kwasababu hawakuwa na alternative

Ujio wa hawa startimes wameamua nao kushusha bei zao
 
Msiilaumu Startimes bana. Huduma yake inaendana na bei yake. Kama unakinunua kwa tshs 39K usitegemee kiwe na quality ya dhahabu.
Subirini hicho cha Continental ambapo naambiwa kitauzwa tshs 160K, mtapata satisfaction, kama at all itakuwepo.
 
Dah ngoja niwah kwa fundi wa kutengeneza makabati nipate moja local lenye sehemu za kuweka haya mang'amuzi, hapa nianoyo kama matatu hivi tayari.
 
Duh hicho cha continental ni HD kweli?
Inamaana kitauzwa shilingi ngapi vile?
 
Back
Top Bottom